GET /api/v0.1/hansard/entries/1279448/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1279448,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1279448/?format=api",
"text_counter": 505,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Mhe. Spika, pia ningeomba kuwa mambo mengi yamezungumzwa katika yale mazungumzo, lakini kina mama 47 viongozi wa majimbo, mambo kuhusu NationalGovernment Affirmative Action (NGAAF) haijawekwa pale. Ndugu zangu, Mhe. Kiongozi wa Wengi Bungeni na Mhe. Kiongozi wa Wachahche Bungeni, hakikisheni mambo ya kina mama yanawekwa pale. Pesa za akina mama na NGAAF ziwekwe pale maanake ninajua Mheshimiwa Raila Odinga alikuwa mstari wa mbele kutetea akina mama. Kama Kaunti ya Mombasa, ninatetea Mama Kaunti 47. Asante sana Kenya iwe na amani."
}