GET /api/v0.1/hansard/entries/1279468/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1279468,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1279468/?format=api",
"text_counter": 525,
"type": "speech",
"speaker_name": "Laikipia North, JP",
"speaker_title": "Hon. Sarah Korere",
"speaker": {
"id": 13134,
"legal_name": "Sara Paulata Korere",
"slug": "sara-paulata-korere"
},
"content": " Shukran Mhe. Spika. Ningependa kumpongeza Rais wa Nchi tukufu ya Kenya pamoja na Kinara wa Azimio, Mhe Raila Odinga. Kitabu cha Mtakatifu Mathayo Sura ya Tano, Ukurasa wa Tisa inasema kuwa “Heri wapatanishi maana wataitwa wana wa Mungu.” Tungekuwa shuleni na uambiwe ukanushe sentesi niliyoisema, itasema kuwa wamelaaniwa waleta vurugu maana wataitwa wana wa shetani. Mazungumzo yanayoendelea kwa sasa ama yanayoenda kuanza ni jambo nzuri sana katika nchi ya Kenya. Ni aibu kuwa tunafanya haya baada ya kuzua vurugu, kupoteza maisha ya watoto wa Kenya, na kuharibu mali ya Wakenya. Sote tulienda katika uchaguzi, na kuna wale pia sisi tuliwashinda. Katika mashindano yeyote, lazima kuwe na mshindi na mshindwa. Hata tulipoenda kwenye uchaguzi mkuu wa kupigania urais, baadhi ya wale waliosimama, The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}