GET /api/v0.1/hansard/entries/1279469/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1279469,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1279469/?format=api",
"text_counter": 526,
"type": "speech",
"speaker_name": "Laikipia North, JP",
"speaker_title": "Hon. Sarah Korere",
"speaker": {
"id": 13134,
"legal_name": "Sara Paulata Korere",
"slug": "sara-paulata-korere"
},
"content": "mshindi angalikuwa ni mmoja tu. Tusije pia tukafanya mazungumzo haya iwe ni njia ya kutumia mlango wa nyuma kujitafutia ukubwa na mambo mengine. Nikimalizia, nimetazama orodha ya wale ambao wanaenda kufanya mazungumzo hayo. Hapa Kenya kuna watu tofauti; wafugaji, wakulima, wavuvi na wakusanyaji. Nikiangalia orodha hiyo, hamna mfugaji, mkusanyaji ama mwindaji. Ninaona Mhe. Ichung’wah hajui wakusanyaji na wawindaji ni hunters and gatherers . Hawa ni Wandorobo ambao mimi ni mmoja wao. Kwa hivyo, ninaunga Hoja hii mkono, lakini niko na tashwishi…"
}