GET /api/v0.1/hansard/entries/1279492/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1279492,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1279492/?format=api",
    "text_counter": 549,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": null,
    "content": "Kilindini. Mhe. Kimani Ichung’wah alizungumza akasema Serikali ya wananchi haiwezi kupelekwa kwa umwagikaji wa damu. Vile vile, siku hiyo tukiwa kwenye function ya Associated Vehicle Assemblers (AVA), niliyarudia maneno hayo. Tumeona yale Mhe. Wandayi aliyosema kuhusu vita vilivyotokea Uganda. Tumeona akina General Sejusa, Kasirye Ggwanga na Kizza Besigye, wote walijitia msituni kwa ajili ya kupigania mambo yaliyotokana na conflict za kisiasa. Langu ni kuiombea hili Jopo liweze kufanya kazi ili Kenya ipate amani. Pia, Serikali yatakikana ijue kuwa Azimio hatuna haja ya kuingia serikalini wala kuchukua nusu mkate. Haja yetu ni kuangalia hali ya maisha ya wananchi wa Kenya imedumishwa. Ninaliombea Jopo hili lifanye kazi na Mungu aipeleke Kenya yetu mbele. Asante. Mungu atubariki."
}