GET /api/v0.1/hansard/entries/1279537/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1279537,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1279537/?format=api",
"text_counter": 594,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": "malori yao ndio yaliyobebea sukari kutoka bandari. Lakini leo amekuwa Mjumbe na anajua kweli kuwa uagizaji wa sukari utaua viwanda vyetu. Ndio maana Mhe. Wangwe ameleta Mswada ambao hautafaidisha wakaazi wa Navakholo peke yake, lakini Kenya nzima. Ni kiongozi wa tajiriba ndio maana leo yuko Bunge hili kwa mara ya tatu. Anahudumu pamoja na kijana mwepesi fulangenge, Mhe. Bady Twalib, Mbunge wa Jomvu."
}