GET /api/v0.1/hansard/entries/1279538/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1279538,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1279538/?format=api",
"text_counter": 595,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": "Kwa hivyo, leo vile wenzangu wamesema, Kenya ina uwezo wa kupeleka sukari nchi nyingine katika Bara la Afrika. Lakini leo mambo haya yamekuwa ni matatizo kwa sababu watu wetu wenye viwanda wachukua barua za exemption na kuagiza sukari ambayo hawalipii ushuru, duty free . Leo watu wanatajirika kutokana na bishara ya sukari. Ninamshukuru Mhe. Nabwera kwa kusema kuwa sukari imekuwa kiegezo cha wanabiashara kudhibiti uongozi na kuamua ni nani wanayemtaka, na nani hawamtaki."
}