GET /api/v0.1/hansard/entries/1279539/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1279539,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1279539/?format=api",
"text_counter": 596,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": "Kwa hivyo Mhe. Spika wa Muda, ninaona nipeane wakati wangu unaosalia kwa wenzangu watoe mchango wao. Kwa ruhusa yako, kama utanipatia nguvu, Mhe. Spika wa Muda, nampisha mama Zamzam kwa hiyo nafasi yangu. Ninaunga mkono Mswada huu."
}