GET /api/v0.1/hansard/entries/1279925/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1279925,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1279925/?format=api",
"text_counter": 370,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taita Taveta County, UDA",
"speaker_title": "Hon. Haika Mizighi",
"speaker": null,
"content": "Ninaunga mkono kabisa swala hili ili maji yaweze kupata wepesi wa kusambazwa kila sehemu zote za kaunti na hata za nchi hii ya Kenya. Asante sana Mheshimiwa Spika wa Muda. Ninaunga mkono."
}