GET /api/v0.1/hansard/entries/1282458/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1282458,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1282458/?format=api",
    "text_counter": 82,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Bw. Spika, kwanza ninaunga mkono Hoja hii iliyoletwa na Kiongozi wa Walio Wengi. Katiba inatueleza kabisa kuwa mamlaka yote ya taifa hili yako katika mikono ya Wakenya. Kwa hivyo wao ndio wenye mamlaka. Sisi tuko hapa kama Bunge kutekeleza yote ambayo Wakenya wanahitaji yatekelezwe katika Bunge hili la Seneti. Mengi yamesemwa. Hata hivyo, Kipengele cha 94 cha Katiba kinasema wazi kwamba Wakenya watawakilishwa Bungeni na wale waliochagua. Tukiwa hapa, tunayo majukumu tofauti. Jukumu letu la kwanza ni kuona---"
}