GET /api/v0.1/hansard/entries/1282498/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1282498,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1282498/?format=api",
    "text_counter": 122,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Asante sana, Mstahiki Spika, kwa kunipa fursa hii niweze kuchangia. Kwanza naunga mkono Hoja hii ambayo iliwasilishwa na Kiongozi wa Walio Wengi ya kwamba wale walioteuliwa waweze kuketi na kutafuta jawamu katika mazungumzo. Hata hivyo, tusiwe watu wa kutafuta vita ndipo tuanze kutafuta amani."
}