GET /api/v0.1/hansard/entries/1282513/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1282513,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1282513/?format=api",
    "text_counter": 137,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Mheshimiwa Spika, ule mjadala uko hapa ni wa muhimu sana na wa kitaifa. Lakini, ni sawa yale matamshi aliyoongea dadangu, Sen. Nyamu, ya kwamba hapa tunaongea juu ya Baba Raila Amolo Odinga? Ningetaka kujua kutoka kwake. Kama si sawa, anaweza kuondoa maneno hayo na akaomba msamaha?"
}