GET /api/v0.1/hansard/entries/1282552/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1282552,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1282552/?format=api",
    "text_counter": 176,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, umewaambia Maseneta wenzangu wajadili mambo ambayo yanahusu Hoja ya siku ya leo. Ni haki kudai kuwa kiongozi amesema kuwa atawapeleka watu mbinguni. Hakuna mtu anayeijua njia ya mbiguni. Hauwezi ukapeleka mtu mbinguni. Bibilia inasema ya kwamba mtu anayeijua njia hiyo ni Baba wa Mbinguni peke yake. Hata yesu haijui."
}