GET /api/v0.1/hansard/entries/1282558/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1282558,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1282558/?format=api",
    "text_counter": 182,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, niko ndani ya Hoja na nitaendelea kubaki hapo. Mwisho, ninasema ya kuwa hakuna soko lisilo na wendawazimu. Majadiliano yataendelea. Wale ambao wanasema ya kwamba hakuna, mwisho wataona ya kwamba yamekuwa na kikomo chake. Waswahili husema, “Haiwi, haiwi, mwisho huwa.” Pia walisema wakati mwingine, “Amani haiji ila kwa ncha ya upanga. Kwa hivyo, ninaunga mkono Hoja hii. Tuko tayari kufanya lolote ambalo linatakikana kama viongozi katika Bunge hili kuhakikisha ya kwamba---"
}