GET /api/v0.1/hansard/entries/1282570/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1282570,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1282570/?format=api",
    "text_counter": 194,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Jambo la kwanza ni kufungua server. Hii ni Kwa sababu katika uchaguzi, ni lazima tuangalie kama tulienda vizuri na tutafanya hivyo kwa kuaangalia server. Taasisi ambazo zinatumia pesa huwa zinafanya uhasibu ambao ni jambo muhimu. Katika yale mazungumzo ni vyema ripoti itayokuja iaangalie ni vipi tutafungua ile"
}