GET /api/v0.1/hansard/entries/1282579/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1282579,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1282579/?format=api",
    "text_counter": 203,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika, kwa huo mwelekeo. Lakini, katika maswala ambayo yako katika meza, kutoka kwa upande wa Azimio, moja ilikuwa ni kufanya uhasibu ama audit ya server. Kwa hivyo, nikitaja server ni kwa sababu swala moja ambalo liko katika majadiliano litakuwa ni kufungua server. Mambo ya maandamano ni haki yetu kama Wakenya katika Ibara ya 37. Ninaona maandamano yakitokea hata katika Kaunti ya Uasin Gishu kwa sababu watu wanataka pesa zao ambazo walilipa kwenda ngámbo. Lazima hiyo server ifunguliwe tujue ni nini ambacho kilitokea."
}