GET /api/v0.1/hansard/entries/1282595/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1282595,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1282595/?format=api",
    "text_counter": 219,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13583,
        "legal_name": "Chute Mohamed Said",
        "slug": "chute-mohamed-said"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, namshukuru Rais wetu na Baba Raila Odinga kwa kuwezesha mkutano huu. Kenya ni nchi iliyo na watu zaidi ya milioni 50 ambao tunaongoza. Wale wanaoongoza wamechaguliwa kutoka Kaunti kama wawakililishi wa wadi."
}