GET /api/v0.1/hansard/entries/1282602/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1282602,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1282602/?format=api",
"text_counter": 226,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chute",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13583,
"legal_name": "Chute Mohamed Said",
"slug": "chute-mohamed-said"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika. Wakenya zaidi ya milioni 50 wamechagua wawakilishi kwenye Bunge za Kaunti, Bunge la Kitaifa na Seneti. Baada ya kupiga kura, upinzani na Serikali wanazozana. Wawakilishi kutoka Kenya Kwanza wanaenda kwa mazishi, arusi na mahali penye watu kuongea siasa ambayo haiwezi saidia nchi hii. Wanachama wa Azimio-One Kenya wanasema server ifunguliwe na kuwa chakula kina bei ghali ila walichangia chakula kuwa na bei ya juu. Nashukuru sana kuwa watu waliochaguliwa kwenye hii Kamati ni waheshimiwa. Mwenyezi Mungu amewapa nafasi ya kuongoza watu. Tuwache kuongea kwa mazishi na arusi. Kuna Wabunge vijana kwenye Seneti na Bunge la Taifa, ambao hutaja jina la Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta, wakitembea, wakilala na wakiamka. Pia hili linafanywa na Wabunge kutoka upande wa upinzani ambao huongea kuhusu Mhe. Rais William Ruto. Yeye apewe nafasi ya kujenga nchi hii. Jambo la mwisho, majadiliano---"
}