GET /api/v0.1/hansard/entries/1282622/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1282622,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1282622/?format=api",
    "text_counter": 246,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Laiti tungelifuata filosofia ya Nyayo ambayo inasema amani, upendo na umoja. Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Mazungumzo ni mazuri kwa maana sote tunaishi katika nchi yetu ya Kenya. Mazungumzo haya yalianzishwa na Maseneta werendi sana. Unakumbuka Seneta Wambua kutoka Kitui na Seneta Wakili ambao walianzisha haya mazungumzo. Msingi waliyoweka ni msingi ungetumiwa maana waliangazia shida tunazopitia katika Seneti hii. Hayo mazungumzo yangeendeleza maneno haya. Kitabu kitakatifu kinasema watu The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate."
}