GET /api/v0.1/hansard/entries/1283051/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1283051,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1283051/?format=api",
    "text_counter": 68,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "kwa sababu wao ndio walioharibu mazingira. Lakini hawalipi kama ilivyozungumzwa hapa na Maseneta wenzangu. Hawajalipa na hawatalipa. Wakati tulipokuwa tukifanya ile debate, Wabunge wote kutoka Afrika walisema lazima tuhakikishe kwamba wazungu wamelipa; lazima tuhakikishe watu wa China wamelipa. Lazima Waafrika tuungane tuhakikishe wamelipa. Lakini wakati Rais alisimama akasema kwamba sisi tuko na raslimali, badala ya kuwaomba watu watufanyie, sisi tuweke rasilmali yetu ya kwamba wao walipe nchi za Afrika ili ile"
}