GET /api/v0.1/hansard/entries/1283055/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1283055,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1283055/?format=api",
    "text_counter": 72,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "na watu wanalipwa pesa ngapi kwa zile effort ambazo wanafanya kutunza misitu na kupanda miti. Bwana Spika, nimesimama kuomba kwamba sote tutakaozungumza kuhusu swala hili, tupitishe Mswada huu. Tupitishe sheria hii ili wananchi wa kawaida waanze kuwa na faida ya kupanda miti na kuchunga misitu yetu. Kwa hayo mengi ninaomba kuunga mkono Mswada huu. Asante."
}