GET /api/v0.1/hansard/entries/1283076/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1283076,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1283076/?format=api",
    "text_counter": 93,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Tukiwa katika mazungumzo hayo wiki ijayo, ni muhimu kuonyesha ya kwamba Kenya iko katika kipao mbele. La muhimu katika hii mabadiliko ya tabia ya nchi ni kwamba sisi pia lazima tuone baada ya kupanda hii miti, tutailinda. Huwezi kupanda miti pekee yake bila kuilinda. Tuko na makabila mengi kama alivyotaja ndugu yangu. Kule ninakotoka, kuna kabila la Warta. Hilo ni kabila ambalo limeishi na linalinda misitu. Watu kama hawa ni lazima ikiwa kutatoka pesa zozote, wapewe nafasi hiyo. Bw. Spika, nikimalizia, dakika moja tu. Kunao umuhimu kuona ya kwamba watu wanaoishi katika hiyo miti ndio watapewa---"
}