GET /api/v0.1/hansard/entries/1283083/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1283083,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1283083/?format=api",
"text_counter": 100,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murang’o",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Ukienda kwetu, vijana wengi sana wamepotea kwa sababu wanasema hawafaidiki sanasana kwa upanzi wa miti. Hata kama wamepewa nafasi kupanda miti katika hifadhi zile zinaitwa conservancies, pia wao wanahusishwa na kupata haki yao wakati mgao wa carbon credit unakuja katika nchi hii."
}