GET /api/v0.1/hansard/entries/1283104/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1283104,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1283104/?format=api",
    "text_counter": 121,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Nikiangalia takwimu, shamba la Tsavo East na Tsavo West, ni ekari milioni 2.7. Katika ranches, 1.2 milioni. Mkopo wa kaboni unalipiwa lakini hatuelewi kama wananchi ama kaunti tunafaidi namna gani. Ninaunga mkono Mswada huu kwa sababu unapelekea kuweka peupe bayana kama tukilinda haya mazingira- kuna wengine wanayaita mazingara. Mazingara sio"
}