GET /api/v0.1/hansard/entries/1283108/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1283108,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1283108/?format=api",
    "text_counter": 125,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Yanaitwa mazingira. Kwa hivyo, kuna umuhimu zaidi kuliko mbeleni kuthibiti mazingira kwa sababu kuna kazawadi. There is an incentive . Tukiangalia hizi ekari 400,000, kando na kuwa tunafaidi kiutalii, pia kuanzia sasa tukipitisha Mswada huu leo, tutapata faida kupitia kwa mkopo wa kaboni. La mwisho kabisa, serikali za kaunti zimepatiwa kazi. Katika kutengeneze mipango yao ya miaka mitano ama County Integrated Development Plan (CIDP), waweke pia mambo ya kuthibiti tabia nchi ama climate change action . Ya kwamba watapanda miti mingapi kama miradi ya miaka mitano. Katika bajeti zao, waweke mambo ya kuthibiti uharibifu wa mazingira ambao unapelekea mabadiliko---"
}