GET /api/v0.1/hansard/entries/1283197/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1283197,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1283197/?format=api",
"text_counter": 214,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante Bw. Naibu wa Spika kwa kunipa fursa niweze kuchangia mambo ya mazingira na upandaji wa miti. Yangu ni kusema asante kwa sababu tuko na Serikali ambayo Rais anajali mambo ya mazingira. Zamani, wakati hakukuwa kunakatwa miti na uchomaji mwingi wa makaa, mvua ilikuwa inayesha kwa kipindi cha miezi mitatu na watu wanapata chakula na maji. Mito mingi ilikuwa na mchanga na hakukuwa na shida."
}