GET /api/v0.1/hansard/entries/1283230/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1283230,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1283230/?format=api",
"text_counter": 247,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Githuku",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13595,
"legal_name": "Kamau Joseph Githuku",
"slug": "kamau-joseph-githuku"
},
"content": "Asante sana Mhe. Naibu Spika kwa kunipatia fursa hii. Nachukua nafasi hii ili niweze kuunga mkono Mswada huu ambao ni wa mabadiliko ya tabia ya nchi. Ninaunga mkono Mswada huu kama vile ambavyo Rais wetu, Dr. William Ruto, amekuwa katika mstari wa kwanza kusaidia upande wa kuhamasisha mambo ya mazingira. Nimetoka katika Kaunti ya Lamu, Kaunti ambayo imeketi katika asilimia 44 ya msitu katika Jamhuri yetu ya Kenya. Ni muhimu sana kaunti hiyo iweze kujumuishwa katika mambo ya carbon credit ili kaunti ambazo zina misitu mikubwa ziweze kujivunia na kuishi maisha mazuri. Mimi niko na watu ambao pia wameathirika sana katika kaunti yangu ya Lamu, ikizingatiwa ya kwamba msitu wa Boni ni msitu ambao umekuwa na---"
}