GET /api/v0.1/hansard/entries/1283679/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1283679,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1283679/?format=api",
    "text_counter": 81,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Asante, Bw. Naibu Spika. Ningetaka kuunga mkono ombi lililoletwa na shemeji yangu Sen. Mwaruma, Seneta wa Taita Taveta. Shida ambayo walimu wako nayo ni kwamba walimu wanaofunza katika maeneo magumu hawapewi pesa ambazo wanastahili kupewa. Hili ni swala nyeti. Sehemu ninayotoka huko Kirinyaga hii imekuwa shida kubwa mpaka hata watoto kutoka sehemu ya Mwea ambao wanafaa kuenda shule---"
}