GET /api/v0.1/hansard/entries/1283683/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1283683,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1283683/?format=api",
    "text_counter": 85,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, ningeomba Seneta wa Vihiga awe anahudhuria hivi vikao ili ajue mambo inavyoendelea kwa sababu hilo jambo lilitatuliwa kitambo sana. Sen. Osotsi ameingilia mtiririko wa mawazo yangu. Nikieleza hapa ameshaharibu. Nilikuwa ninasema ya kwamba katika Kirinyaga---"
}