GET /api/v0.1/hansard/entries/1283852/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1283852,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1283852/?format=api",
    "text_counter": 254,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "kutoka nje. Alikuwa pia anafaa kuitwa katika kamati ya Powers and Privileges . Kwa nini hakuitwa? Lakini huyu kwa sababu ni mama, amepewa adhabu ambayo haifai. Katika maneno ambayo wanasema, na sitayataja hapa, huwa hakuna ushahidi wa mambo ambayo imeongelewa baina ya mwanaume na mwanamke. Sio siri kama imefanyika ama haijafanyika. Sisemi kwamba imefanyika. Hata hivyo, tunastahili tuketi chini kisha tumwangalie huyu kama mwenzetu na tumpe adhabu inayofaa, sio kumfukuza kwa miezi sita ambayo hata kanyaga katika hivi vikao, tukijua ya kwamba anakazi ya kufanya kama mama katika hili Bunge la Seneti."
}