GET /api/v0.1/hansard/entries/1283854/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1283854,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1283854/?format=api",
"text_counter": 256,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, mimi ninangoja kwa sababu ninajua kuna mtu atakaidi lile agizo lako tena hapa ndio nione kama yeye pia atafanyiwa kama Sen. Orwoba. Katika historia ya hii nchi, tunajaribu sana kuangalia na kupunguza ubaguzi wa wanawake. Hii ndio maana kunasheria maalum ambayo ililetwa, kwamba lazima kuwe na theluthi mbili katika kila kikao ili tuweze kuwapatia wanawake nguvu. Sasa hivi tumeketi hapa wengi tukiwa wanaume kujaribu kufukuza mwanamke. Mimi ninapinga kwa dhati kama Sen. Murango hilo ---"
}