GET /api/v0.1/hansard/entries/1283959/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1283959,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1283959/?format=api",
"text_counter": 361,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Asante Bw. Naibu Spika kwa nafasi hii ambayo umenipa kuchangia mjadala huu. Wakenya wanatazama kwa makini sana yale tunayojadili. Wanajua ya kwamba walipigia viongozi timamu, watu wazima, kura. Hawakuchaguwa watu kwa sababu ya urembo, sura, ulimi, mate--- Walichaguwa watu wenye akili timamu."
}