GET /api/v0.1/hansard/entries/1283963/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1283963,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1283963/?format=api",
"text_counter": 365,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, kule kwetu, sisi husema ukimuona binti unapopita, na unapopiga miluzi kila mara anageuka kukutazama, anafikiria huenda mwanya katika mdomo wake unakupendeza. Kumbe ni tabia yake mbaya inayokufanya unataka"
}