GET /api/v0.1/hansard/entries/1284160/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1284160,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1284160/?format=api",
"text_counter": 72,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Bore",
"speaker_title": "The Cabinet Secretary for Labour and Social Protection",
"speaker": {
"id": 13672,
"legal_name": "Reuben Kiborek",
"slug": "reuben-kiborek"
},
"content": "ni 47,000. Kwa hivyo, tumeongeza karibu 10,000. Wale amabo tumesajili katika usajili unaoendelea sasa hivi ni 18,281. Kwa hivyo, tuko na mipango ya kuweza kuwasajili, tuwaweke kwa ule mpango wa Inua Jamii ili tuweze kuwalipa shilingi 2000 kila mmoja wao. Swali lingine ambalo Sen. Munyi Mundigi aliuliza ni kama tunafanya kazi na serikali za kaunti na viongozi wanawakilisha wananchi. Tuko na mpango kupitia kwa huo mpango ya Inua Jamii kuweza kusaidiana kuwasaidia wale walemavu ili wawekwe katika mpango wa Serikali. Asante, Bw. Spika."
}