GET /api/v0.1/hansard/entries/1284188/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1284188,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1284188/?format=api",
    "text_counter": 100,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Miraj",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "vinapeanwa kwa watoto ambao wanahitaji, haswa wale ambao wana shida ya kutosikia katika shule zetu za Serikali. Bi. Waziri, ningependa utujulishe ni kima gani cha pesa kinaenda kwa shule hizi zinazotangazwa kila uchao kwamba zinafungwa. Hii ni kwa sababu hazipati fedha za kutosha za kuwabakisha watoto katika shule zao waweze kupata masomo kama watoto wengine katika taifa hili la Kenya. Asante, Bw. Spika."
}