GET /api/v0.1/hansard/entries/1284287/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1284287,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1284287/?format=api",
    "text_counter": 199,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kibwana",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 277,
        "legal_name": "Kibwana Kivutha",
        "slug": "kibwana-kivutha"
    },
    "content": "ni wale ambao bwana ameoa bibi wengi na kuwaacha. Watafanya nini? Si kweli, wamama hawa wanatekeleza majukumu yao na watoto wao wana nidhamu kuliko watoto walio na wazazi wawili. Nakataa hili jambo kwani utapata wazazi hawa wameshikilia nyumba zao. Namshukuru Sen. Mumma kwa kuleta Hoja hii. Nakubaliana na Sen. Tabitha Mutinda kuwa iletwe kama Mswada ili tuweze kuizungumzia Zaidi. Hii ni Challenge kubwa kwa wazazi. Tunafaa kushikilia Watoto wetu wasiingie kwenye shimo la kuvuta"
}