GET /api/v0.1/hansard/entries/1284289/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1284289,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1284289/?format=api",
"text_counter": 201,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kibwana",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 277,
"legal_name": "Kibwana Kivutha",
"slug": "kibwana-kivutha"
},
"content": "Kuna saratani ya kifua ambayo inasababishwa na uvutaji wa hizi sigara. Hili ni janga kubwa ambayo tunafaa kuangalia. Bw. Spika, ni hayo tu kwa sasa, kwani mada hii ni pana sana. Naunga mkono Hoja hii iliyofadhiliwa na Sen. Mumma. Asante."
}