GET /api/v0.1/hansard/entries/1284378/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1284378,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1284378/?format=api",
    "text_counter": 63,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Ni jambo nzuri kwamba wamekuja hapa kuona vile tunavyofanya kazi na pia kujijulisha mambo fulani fulani ambayo wanaona tofauti kati ya sisi na wao katika Bunge lao. Tumeona mambo mengi yamefanana. Hata hivyo, kusema ukweli ni kwamba hawa wabunge wa Bunge la Uganda wametushindia kitu kimoja. Kiranja wao akiandika barua ya kwamba katika kamati hii nimetoa huyu na kuweka yule, Spika huwa hana njia yoyote ya kufanya isipokuwa kusema kuwa hiyo imekubaliwa."
}