GET /api/v0.1/hansard/entries/1284381/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1284381,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1284381/?format=api",
    "text_counter": 66,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Asante Bw. Spika. Mimi nina imani ya kwamba ndugu zetu kutoka Uganda wamekuja hapa na wamefurahi kuona vile tunavyoendelea kufanya kazi. Wako hapa kwa siku mbili au tatu na wataendelea kujifunza na kuona. Ndugu zangu Maseneta, ninaomba tuweze kuhusiana nao ili tuwe na uhusiano mwema baina ya nchi yetu hii na nchi ya Uganda. Uhusiano pia uendelee kama vile Sen. Mundigi husema ya kwamba yeye katika hizo harakati, amefaulu sana. Asante."
}