GET /api/v0.1/hansard/entries/1284402/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1284402,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1284402/?format=api",
    "text_counter": 87,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Onyonka",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13592,
        "legal_name": "Onyonka Richard Momoima",
        "slug": "onyonka-richard-momoima"
    },
    "content": "na ningependa kuwaambia ndugu na dada zangu ambao wako hapa kuwa hili ni jumba la heshima. Mkirudi Kisumu muwaambie wananchi wetu kuwa tunashirikiana vilivyo. Kazi yetu ni kuhakikisha tumelinda ugatuzi na kuhakisha kuwa tunarekebisha nchi yetu ili iwe ni nchi ambayo ni yenye heshima na ina maswala nyeti ya kutatua shida za maskini. Asante."
}