GET /api/v0.1/hansard/entries/1284537/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1284537,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1284537/?format=api",
"text_counter": 222,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "wengi walifurahi na kusema kando na kutunga sheria na sera, huu Mswada pia utatoa hamasa kwa wananchi na taasisi mbalimbali za Serikali na zile zisizo za kiserikali, kuwa kuna wananchi viziwi. Wananchi hawa kwanza wako na haki ya kupata maarifa na ujuzi utakaowasaidia katika maisha yao. Kwa Kiingereza tunasema kupata knowledge and skills zitakazowasaidia katika maisha yao. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate."
}