GET /api/v0.1/hansard/entries/1284646/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1284646,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1284646/?format=api",
    "text_counter": 331,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kibwana",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 277,
        "legal_name": "Kibwana Kivutha",
        "slug": "kibwana-kivutha"
    },
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda. Langu ni kutoa pole kwa watu wa Kaunti ya Lamu waliofiwa. Ni masikitiko makubwa kupoteza ndugu zetu na hao ndugu, wako na familia. Wako na watoto, ni baba, kaka na pia ndugu za watu. Tunaomba Serikali ifanye vyovyote vile kusuluhisha na kuweka usalama upande huo, ili maisha na kazi za watu wetu wengine kama wavuvi ziendelee. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate."
}