GET /api/v0.1/hansard/entries/1285771/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1285771,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1285771/?format=api",
"text_counter": 193,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bw. Spika. Nasimama kuunga mkono uteuzi wa Mwenyekiti wa Benki Kuu ya Kenya. Namtakia kila la kheri katika kazi yake. Ijapokuwa sijaweza kutangamana naye mahali popote wala kushirikiana katika kazi zozote za kiofisi nimewasikia wenzangu wakizungumza juu ya uzuri wake katika zile sehemu za kazi ambazo amefanya. Nauunga uteuzi huo kama Seneta kutoka Kaunti ya Mombasa."
}