GET /api/v0.1/hansard/entries/1286171/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1286171,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1286171/?format=api",
    "text_counter": 376,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": ". Lakini, ni kama haina uhusiano wowote na ile management yenyewe ya hospitali, subcounty na county management . Wananchi hawakupewa nafasi ya kusimamia zile pesa zao. Ile nafasi yote imeenda kwa wafanyikazi wa Serikali. Mtu hawezi kujua, pengine mwezi huu tumeleta Kshs150,000 kwa kituo cha afya. Lakini sasa haujui zile pesa zimetumika namna gani. Wameandika ya kwamba watatoa ripoti, ila haijulikani hiyo ripoti inapelekwa wapi. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate."
}