GET /api/v0.1/hansard/entries/1286190/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1286190,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1286190/?format=api",
    "text_counter": 395,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, niruhusu niseme kitu kwa sababu mimi nimekuwa ni mtu wa kupiga makofi na kutumbuiza wengine wakisonga. Naona kama sasa ukipea nafasi ambayo inakuja, mimi niliyepitwa mara tatu, tena nitapitwa niwe wa mwisho tena."
}