GET /api/v0.1/hansard/entries/1286224/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1286224,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1286224/?format=api",
    "text_counter": 429,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13586,
        "legal_name": "Alexander Mundigi Munyi",
        "slug": "alexander-mundigi-munyi"
    },
    "content": "Kwa hivyo, naunga mkono pesa hizo ziwe zikisaidia hospitali mashinani. Ni lazima tuzingatie mambo ya accountability ili pesa hizo ziweze kusaidia mwananchi aliye chini. Pia naunga mkono pendekezo kwamba madereva na wafanyikazi wengine wapate hizo pesa, angalau kikombe cha chai ili wao pia wajisikie kuwa wako serikalini za kaunti. Utapata wengine wanasubiri miezi mitano kabla ya kupata marupurupu yoyote. Daktari analipwa ndio atibu mgonjwa, lakini msaidizi wake hapati marupurupu yoyote. Naunga mkono Mswada huu nikiwa kwa hii kaunti hapa, nikiwa Embu County---"
}