GET /api/v0.1/hansard/entries/1286254/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1286254,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1286254/?format=api",
"text_counter": 459,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Nitachangia kwa ufupi. Mswada tunaojadili, mambo ni matatu; tuupitishe vile ulivyo, tufanye marakebisho kisha tupitishe ama tupige kura ya kuukataa. Kwa mfano, nyumba ambayo panya ameingia, hawaweza ichoma, kama vile Sen. Osotsi alisema kuwa amekataa huu Mswada. La pili, unaweza tafuta mtaalamu wa panya, kama Sen. Mbugua, akusaidie kutafuta panya; hii ni kupiga msasa na kufanyia Mswada marekebisho. Hatimaye unaweza lala na panya kwa nyumba kwani haiumi, kisha kukicha unafanya mpango tofauti. Kukosa kupitisha Mswada huu hakutaondoa sheria ambazo zimepitishwa na"
}