GET /api/v0.1/hansard/entries/1286256/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1286256,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1286256/?format=api",
"text_counter": 461,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "kule mashinani ambazo wanatumia uratibu kama wa Seneti. Tunafaa tu- ringfence pesa inayotolewa na wagonjwa kwenye hospitali itumike kwenye hospitali zile. Inapowekwa kwenye mfuko moja kama sadaka, pesa zile kurudishwa kwenye hospitali ni vigumu sana. Pia, zinapowekwa kwenye bajeti ya kaunti, pesa hizo The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate."
}