GET /api/v0.1/hansard/entries/1286257/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1286257,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1286257/?format=api",
    "text_counter": 462,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "zitatengwa kujenga barabara na kutengeneza miundo msingi. Zile fedha wakati mwingi hazirudi kwenye bajeti ya hospitali. Mswada hauko kamili, lakini kuna nafasi ya kuufanyia marakebisho. Kwa sasa, tuvumilie tu, tuupitishe ili tutengeneze njia ya kuhakikisha kuwa zile pesa zinazoletwa na wagonjwa zinatumika kwenye hospitali. Kuna hospitali kubwa na ndogo. Wakati matabibu sawa inakosa kwenye hospitali, gatuzi zinatabia ya kuhamia kwenye hospitali zilizosawa kwenye gatuzi zingine. Unapata mkusanyiko wa watu kwenye hospitali. Kuna kaunti tayari zinatumia mfumo huu. Huu si Mswada wa kwanza, na kukosa kuupitisha Mswada huu haimaanishi zile hospitali zitakosa kuendelea. Kwa sababu ya Muda, nitamalizia mchango wangu hapo."
}