GET /api/v0.1/hansard/entries/1286926/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1286926,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1286926/?format=api",
"text_counter": 151,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen.Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika, nadhani ni hujuma lakini nitadhibiti mawimbi ya Maseneta wenzangu ambao wanahujumu kazi yangu ya Seneti. Watu hao wataweza gundua maradhi haya na kuweka katika vitabu vya hesabu. Iwapo makadirio ya bajeti yatawekwa, rasilimali na fedha zitawekwa kulingana na ripoti na utafiti utakao---."
}