GET /api/v0.1/hansard/entries/1289015/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1289015,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1289015/?format=api",
"text_counter": 18,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante Bw. Spika. Kwanza nakuunga mkono katika maneno yako ulivyosema, ya kwamba, Maseneta wote walioweza kufika Turkana County waliweza kuteteleza wajibu wao. Vile vile, kazi tulioifanya Turkana County inaonekana wazi. Watu wa Turkana County ni watu wangwana na wazuri. Walitukaribisha kwa hali ya kufana zaidi kuanzia"
}